Papa Francis alimpa Pasipoti ya Vatikani raia wa Uingereza mwenye umri wa miezi 11 Charlie Gard, vyombo vya habari vya Italia vimetangaza. Charlie yuko hatarini ya kuuawa kifo cha huruma nchini Uingereza kwani anaugua kutokana na ugonjwa nadra. Cheti hicho kitamwezesha kusafiri kwenda kwenye hospitali ya watoto ya Vatikani. #newsZqlznntafu
Papa anakufa, Maisha Marefu kwa Papa! Katika hali ya kutokuwa na uhakika na huzuni, mwangaza wa mwisho wa maisha ya papa mmoja unaashiria uwasili wa haraka wa mwingine – kama alivyokumbuka Mtakatifu Yohani Paulo II katika nyakati zake za mwisho. Papa Bergoglio, ambaye amewekwa chini ya utawala unaoongozwa na kardinali wenye utata – baadhi yao kujitajia “antipapa” (Kardinali Martini) na wengine ambao wamekubali kuwa walikuwa wa kundi linalojulikana kama “mafya takatifu”, yaani Kikundi cha Sankt Gallen (Kardinali Danneels) – amekumbwa na hali mbaya kiasi kwamba uvumi kuhusu uwezekano wa kuaga kwake duniani umeanza kusambaa. Wakati huo huo, Idara ya Mawasiliano ya Vatikani inaendelea kutoa taarifa zisizo kamili na zilizo na upendeleo. Je, lengo ni lipi? Labda ni kuwafanya waumini wabaki katika hali ya kutokuelewa, kulinda maslahi ya ndani, au tu kuhifadhi uhuru wa kuchukua hatua mbele ya uwezekano wa kuondoka kwa Bergoglio, labda kupitia kukatishwa kwa madarakani au kwa sababu ya …Zaidi
Mnamo Juli tarehe 15 Mkuu mtatanishi wa Wayesu, Padre Arturo Sosa alishiriki wakati wa ziara ya jamii ya Wayesu nchini Cambodia katika mazungumzo kati ya Wakristo na Wabudha na akaingia kwa mara ya kwanza maishani mwake kwenye hekalu ya Wabudha. Picho zilizochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jesuit Asia Pacific Conferencezinaonyesha Sosa na mavazi ya mlei, huku kaketi sakafuni mwa hekalu miongoni mwa watawa Wabudha, na kuikunja mikono yake. #newsIocwbshylc
Papa Francis alimteua Nigel Biggar, mtetezi wa Uavyaji mimba halali,kama mwanachama wa Chuo cha Upapa cha Uhai (Pontifical Academy for Life), kituo cha Catholic Herald kimeandika. Orodha ya wanachama 45 wapya wa chuo hicho ilchapishwa. Biggar ni Prifesa wa Teolojia ya Maadili na Uchungaji katika chuo kikuu cha Oxford. Alisema katika mjadala na mwanafalsafa Peter Singerin 2011, "Ningependelea kudhibiti uavyaji mimba hadi majuma 18 baada ya kutunga mimba." Katika kitabu chake "In Defence of War" (2014) Bigger hudai, kuwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iraq "yalikuwa tu vita" Masharti ya chuo hicho ilibadilishwa mnamo Novemba 2016. Mkuu wake, Askofu nkuu Vincenzo Paglia alisema wakati huo: "Masharti haya mapya yanahitaji uazimaji mkuu kwa upande wa wanachama kwa mafunzo ya Kanisa dhidi ya uavyaji mimba badala ya kufanya ya ya hapo awali." Masharti ya hapo awali yalihitaji kutoka kwa wanachama, ahadi ya kuyalinda maisha ya binadamu kulingana na mafunzo ya Kanisa. Picha: Screenshot …Zaidi
Padre Jean-Michael Gleize wa Jumuiya Ya Mtakatifu Pius wa Kumi (SSPX) amechapisha katika jarida la kila mwezi la "Courrier de Rome" na kwenye mtandao wa SSPX ya Ufaransa “La Porte Latine” makala ambayo inapinga makubaliano ya SSPX na Vatikani. Glieze hufunza teolojia katika seminari ya Jumuiya hiyo mjini Ecône, Uswizi. Alikuwa mmoja wa wanateolojia wa SSPX, walioshiriki katika majadiliano na Vatikani, kati ya mwaka wa 2009 na mwaka wa 2011. Kulinganana na Glieze ni dhahiri kuwa Vatikani huichukulia "Jumuiya hii kama utawala wa uvumilivu". Anauliza swali iwapo ni jambo la busara kuiweka Jumuiya hiyo chini ya nguvu za uongozi wa Kikatoliki, ambao katika hali yake kuu huwajumuisha wenye usasa". Gleize anamalizia kwa kusema, kuwa Jumuiya hiyo inafaa kusubiri hadi wakati Vatikani itakaporekebisha "makosa yenye udanganyifu" ya Baraza la Vatikani Ya Pili kabla ya kutia sahihi makubaliano yoyote. Picha: Jean-Michael Gleize, #newsTceodhksvz
Vyombo vya habari vimemtambua Monsignor aliyeshikwa wakati wa sherehe ya shoga na mihadarati katika myumba yake, Vatikani. Ni Monsignor Luigi Capozzi (49), mshiriki katika Baraza la Papa la Maandishi ya Kisheria, linaloongozwa na Kardinali mtetezi ushoga Francesco Coccopalmerio ambaye hapo awali alitoa kauli kuhusu "mema" ya wanandoa wa kishoga. Jarida la Riposte Catholique limemwita Capozzi "mfuasi mkuu wa Papa Francis ". Katika mtandao wa linkedin.com huwa anajiita "hodari wa Seria za Kanisa na Kanuni za Kiteolojia". Ni wa asili ya Kisalerno, aliteuliwa mnamo mwaka wa 1992 na ni wa dayosisi ya Palestrina karibu na Roma. Manmo Septemba mwaka wa 2016, Askofu wa Palestrina Domenica Sigalini aliwasifu shoga wawili wa kwanza ambao walitia sahihi kandarasi ya kwanza ya ndoa ya kishoga baada ya ndoa za kishoga kutambulishwa Roma. " Iwapo marafiki wawili wapendanao, wanazo haki sawa na wanandoa wengine halitajadiliwa." #newsKhharygzgb